Habari wapendwa♡♡♡
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23:
Mnamo mwaka 2013 mwezi wa 9 nilianza mahisiano ya mapenzi ♥♥ na msichana wa kikwere mixer na mlugulu;
Ilipofika mwaka 2014 aliniambia kuwa ana ujauzito wangu,,
Nilikataa!! Akasema" Lengo langu ni kuzaa na wewe? Nilikataa kutokana na hali yangu ya maisha sio nzuri,,
!
Akaniambia" usijali!!mimi nitajihudumia mwenyewe,, niliamini hivyo kutokana na hali nzuri ya maisha aliyokuwa nayo
Tukaendelea hivyo siku zote.. nikampeleka kwetu→→wazazi wangu wakamfahamu%
Tuliishi wote wakati wote.. mpaka akajifungua mtoto wa kike▶▶▶ nilifurahi sana kwa mara ya kwanza kuitwa baba. Tukawa wote mpaka mtoto alipofikisha miezi minne▶▶
"Mnamo siku ya jumamosi akaniaga anakwenda kwao kuna ngoma☆☆ nilimruhusu kiroho safi ( kumbe sikujua ) ndio ikawa hivi???
Nikiwa natambua kuwa mwenzangu yuko kwao kwenye ngoma¤¤
Siku moja usiku nilipiga simu▲▲ ikapokerewa na mwanaume ambaye alijitambulisha kama mume wake◇◇
Sikuweza amini mpendwa♡♡ nilikata simu kwa hasira..
Nikampigia simu tena akaniambia" mimi huyu ni mke wangu nimemuoa kwa ndoa→→ nikamwambia mimi ni mzazi mwenzangu,,
Mume wake akamwambia" aongee na mimi↓↓ lakin yeye akakataa:
Ila mume wake akaniambia" tuweke kikao juu ya hili¿?
Kikao kilitishwa yule mwanamke akauliza" mtoto ni wa nani? Akajib" mtoto niwa mume wake (unfaithful for me ) mimi niliondoka coz alikuwa tayari ameshanikana→→→ kumbe yule mwanamke alikuwa ameolewa tangu mwaka 2009: hakubahatika kupata mtoto,,
Baada kikao kuisha akanipigia simu na kuniambia kuwa yule mtoto ni mwanangu♡♡♡ nilikataa na nikamwambia"asinipigie simu tena××××× mpaka sasa ananisumbuaaa▪▪▪
Ndugu zangu wapendwa nifanye nini?
Naombeni ushauri wenu♡♡♡♡