Hivi mwanamke anayejiheshimu na kuheshimu sehemu zake za siri anakuwaje na x- boyfriend/husband???
Malaya ni malaya tu iwe Afrika hata ulaya( naimba tu) wimbo wa mwanamuziki jina limenitoka
Wapo wanawake wachache sana ambao hubikiriwa na waume zao na huishi nao bila kutombesha nje kwa maisha yao yoteHahahha ili asiwe na ex awe sealed na kumpata wa hivyo labda mbinguni
Wapo wanawake wachache sana ambao hubikiriwa na waume zao na huishi nao bila kutombesha nje kwa maisha yao yote
Wapo ndugu, narudia tena wapo ila ni wachache mno!Karne hii???
Suala tu la kuwa na x tyr ni malayaSaa kama akikutana na ex anakubali kirahisi kisa tu anahofia kumvulia nguo mtu mpya huyo naye ni malaya, yani ni aina nyingine ya umalaya
kila mtu ni ex kwa mtu wa mwengine swala linakuja wewe na huyo ex mkoje ni ujinga kua na mawasiliano na ex tena hatarishi labda kuwe na mtoto kati kati ambae atawafanya muwasiliane kwa ajili yake nayo pia mawasiliano yahusu mtoto tu s vinginevyoSuala tu la kuwa na x tyr ni malaya
We una akili sana...umemalza mchzo hapoHivi mwanamke anayejiheshimu na kuheshimu sehemu zake za siri anakuwaje na x- boyfriend/husband???
Malaya ni malaya tu iwe Afrika hata ulaya( naimba tu) wimbo wa mwanamuziki jina limenitoka
Wapo watu ambao hawana ma-x ila ni wachache sana. Mwanamke hajafanya ngono hadi anaolewa na kuanza mapenzi na mumuwe na mwanaume pia hivo hivo. Hawa sio malaya kwakuwa wanajuana wao tu kama mke na mume lakini ikishakuwa mtu ana kinachotambulika kama x tyr anaingia kwenye kundi la malaya tu. Vinginevyo labda huyo anayetambulika kama x alishatangulia mbele ya hakikila mtu ni ex kwa mtu wa mwengine swala linakuja wewe na huyo ex mkoje ni ujinga kua na mawasiliano na ex tena hatarishi labda kuwe na mtoto kati kati ambae atawafanya muwasiliane kwa ajili yake nayo pia mawasiliano yahusu mtoto tu s vinginevyo
Uaminifu yafaa uwepo kwa wote wawili mume na mkeHapa sasa ndio naona umuhimu wa kuoa Mwanamke bikra na akawa mwaminifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
wamebaki wachache sanaaa asilimia 95% walikufa kwemye bomu la atomic kule hiroshima na nagasakiWapo wanawake wachache sana ambao hubikiriwa na waume zao na huishi nao bila kutombesha nje kwa maisha yao yote
Ukikuta hivo ujuwe amemumis ex wakeKwa experience niliyonayo kwa umri wangu kuna wanawake aina mbili
1. Malaya- hawa ni wale ambao hawana adabu na sehemu zao za siri na ukioa mwanamke wa hivi kukusaliti mkiwa kwenye ndoa ni kitu cha kawaida
2. Waaminifu - Hawa ni aina ile ya mwanamke ambaye ni mwaminifu tangu akiwa kijana kwenye mahusiano na hata baada ya kuolewa
But
Hawa wanawake wana tatizo moja- huwa ni ngumu sana kumvulia mwanamme mpya nguo yake(wanaheshimu sehemu zao za siri kuliko kawaida/kwao ni aibu sana na ndio sababu yao kuwa waaminifu)
Hawa tatizo lao ni pale utakapotofautiana nae mkiwa kwa ndoa( kugombana kawaida au kumnyanyasa au kukufumania unamsaliti au kuwa na tabia ya kumsaliti mara kwa mara) anaweza kukuvumulia kutokana na tabia zako weee kwa sababu hawezi kuanzisha mahusiano mapya anaona aibu na si heshima kwake kumvulia kila mtu nguo
Sasa hawa huwa ni rahisi sana kutoka nje ya ndoa endapo watakutana na ex wao (ni wagumu sana kwa mwanaume mpya but kwa mwanaume ambaye anaujua uchi wake ni mwepesi sana hasa kama kuna vitu alikuwa anapata kwa huyo mwanaume ambacho hapati kwako au kama haumpi furaha kwenye ndoa.
Wanaume wenzangu mwogope saaaaana ex wa mkeo kuliko mwanamme mpya anayemtongoza(bora ukute anachart anatongozwa na mwanaume mpya kuliko kukuta hata wanapeana “hi” na ex