Wapendwa napenda tu kujua mwanamke akitoa mimba au mimba kutoka yenyewe twajua kuna muda kizazi cha kuwa wazi na akisex tu bila kinga anapata tena mimba je hali hiyo inadumu kwa muda gani? (baada ya muda gani anaruhusiwa nyama kwa nyama na asipate mimba?).
Hiyo mimba iliyotoka au kutolewa iliingia kwa bahatim mbaya au ilitafutwa? kama ilitafutwa kwanini usiendelee kuitafuta nyingine kumla nyama kwa nyama? kama iliingia bahati mbaya achana na nyama kwa nyama vaa bullet
Wapendwa napenda tu kujua mwanamke akitoa mimba au mimba kutoka yenyewe twajua kuna muda kizazi cha kuwa wazi na akisex tu bila kinga anapata tena mimba je hali hiyo inadumu kwa muda gani? (baada ya muda gani anaruhusiwa nyama kwa nyama na asipate mimba?).
Kaka hapa jf mara nyingi maswali ya kitaaramu huwa hawajibu!! Sanasana utaulizwa maswali mengine ya ajabuajabu, si unaona hapo juu!? Nijuavo mm si chini ya miezi 6, ila inaweza pungua hadi 3 endapo mhusika hakupa madhara sana wakati wa tatizo hilo.

Huu ni mtambo wa kurekebisha tabia, abortion sio suala zuri ndo maana wanakuchallenge kwanza! Kacholopoa katoto alafu anakuuliza njia nyingine ili aendelee kunjunji hovyo hovyo sio?? Alafu umeingizwa chaka na mwenzako eti jf hawajibu maswali ya kitaalamu na we kweli umekubali, pole!! Umetembelea kule jukwaa la doctors? Itumie jf effectively wewe, usizembee!!!!!!