Mwanamke akipenda anapenda ukweli

Ngoja watoto wanze kufyatuliwa, kila mmoja akiwa kama na watatu hivi urudi kuweka tena uzi
 
Ni ngumu kuamini

Kama ni kwel unatumia mzizi gani mkuu embu weka hapa kwa faida ya wote
 
Usijari brother kila mtu alikuaja na riziki Lake hapa duniani, hivyo hata wao watakuja nalo pia
Ngoja watoto wanze kufyatuliwa, kila mmoja akiwa kama na watatu hivi urudi kuweka tena uzi
 
Hdhagajdhshhahdvjdoshsjshdbdjsvghbvhsbsbnahshsgsjshegehshshbdudhsjsgfgggggngcvbnmxhgwteeiehsnsgsh.....

*Choko[emoji848]
 
We fara umetumwa nini, mbona kama unanisema mimiiii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…