Mapenzi ya kifilipino hayo ukiya apply kwenye maisha ya kibongo utapata tabu.Mapenzi ni kama chombo cha kusaidia kuzaliana kwa binaadamu kama ilivyo kwa wanyama wengine tu,ila sie tumeongezewa mbwembwe nyingi,mwisho wasiku inakuja kutukosti.
Mtu anataka umpigie simu mara 3 kwa siku ujue amekula nini kuanzia asubuhi mpaka jioni,ukimtexti eti umuite baby,honey,my love sjui na majina mengine kibao ya uongo na kweli,kabla ya kulala lazima muongee zaidi ya dakika 30,ajue uko nan na wapi all the time.To hell with that lavidavi bullcrap,I rather prefer the friend with benefits/no strings attached arangement.