Ni utambulisho tu, lakini kwa ufupi raia wengi wasiokuwa wanajeshi wamejitolea kwenda kupigana vita dhidi ya PutinKick boxing 🥊 na risasi wapi na wapi.......... RIP
Mwanakulifind mwanakuligetMwanakulitafuta!
Poleni wafiwa, kama hakuwa 'Mnazi' huyo, maana nasikia raia wengi wasio na hatia wala ujuzi wa kupigana kijeshi walilazimishwa na Zelensiky kwenda mstari wa Mbele.Oleksii Yanin ni mwanamasumbwi wa mtindo wa kurusha mateke ambaye alifariki huko Mariupol mnamo tarehe 6 April akiwa katika kikosi maalum cha Azov
Mwanasumbwi huyo ameacha mke mmoja bi Tamara na mtoto mmoja Nazarii
Huyo shujaa aliyekufaa akipigania nchi yake....kenge weweMwanakulitafuta!
MwanakulipataMwanakulitafuta!
Walidanganywa ,na Zelensky hodari kwa maneno ya mzunguko na ushairi mpaka unamfuata anakotaka.Anawavutia mademu na masharo baro wa unga.Ni utambulisho tu, lakini kwa ufupi raia wengi wasiokuwa wanajeshi wamejitolea kwenda kupigana vita dhidi ya Putin
Hakuna mtu mwenye akili zake ambaye anaweza kudanganywa. Wale watu wamejitolea wenyewe kuipigania nchi yao, na wanajua kabisa kuna kufa au kuponaWalidanganywa ,na Zelensky hodari kwa maneno ya mzunguko na ushairi mpaka unamfuata anakotaka.Anawavutia mademu na masharo baro wa unga.
No hard feelings broHuyo shujaa aliyekufaa akipigania nchi yake....kenge wewe
Kwan maji na risas mbona iliwekana kule mtwara kwenye majimaji warKick boxing [emoji3037] na risasi wapi na wapi.......... RIP