Poleni wafiwa. Ila waandishi wa habari wa siku hizi hamko makini na kazi zenu. kichwa cha habari kinasema kafa baada ya kutoa sadaka. maelezo yanasema baada ya kutoa sadaka alirudi sehemu yake na kuanza kuimba ndipo akaanguka.
Taarifa ya daktari inasemaje juu ya chanzo cha kifo chake? Kuna uhusiano gani kati ya kutoa sadaka na kifo hicho? Je, kwenye Biblia kuna mfano kama huo?
Huyo Katekista alikuwa anaongoza Misa Takatifu au kwaya?