Natoa pongezi zangu kubwa kwa Mwana JF Malisa Godlisten kwa kuweza kufunga ndoa siku ya leo Jumamosi katika Kanisa la KKKT Ushirika wa Moshono jijini Arusha Mjini.
Congratulations bro Malisa GJ kwa hatua na maamuzi haya uliyoyachukua leo hii 13.05.2017
Ni hatua moja kubwa sana katika maisha, umeondoka kwenye kundi letu na kutuacha. Muda si mrefu nasi tutafuata nyayo zako kaka kwa uwezo wa MUNGU...[HASHTAG]#HongeraSana[/HASHTAG]!!
View attachment 508807 View attachment 508808 View attachment 508809
.....Huyo shekhe, wa kwanza kushoto kwenye picha ya katikati, anatafuta nini hapo?
....Nassari asilazimishe kuvaa ' Miwani ' kwani haimpendezi na aliyemwambia huwa anapendeza amempotosha.
Hahaha! hongera zake!Nassari asilazimishe kuvaa ' Miwani ' kwani haimpendezi na aliyemwambia huwa anapendeza amempotosha.
Haya sawa oga oooh......
.....Mambo ya Abuja ...igweeehh
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Swali la kipuuzi sana unaweza kusimamia ndoa bila kuwa mke wa ndoa?
.....Hizo picha unaweza sema ni Ulaya kumbe ni Arusha