Mwanajeshi wa M23 akiwa amepumzika

Innobwoy si unajua tena
huduma ikiwa haipatikani ndani
lazima itafutwe kwa kila hali.

Imagine huyo ndo baba watoto,si anaandaa mazingira ya serengeti boys kukumiliki???
 
Last edited by a moderator:
Paloma kama jeshi tu yupo hivi unadhani unaweza mbadilisha???

hilo jeshi ndilo limemfanya hivyo..........mchana kweupe amelala?!?! aamke akawajibike - hakuna kurara!!!
 
Huyu yuko kombania moja na King'asti,muulizeni siku hiyo walikula nini.
 
Last edited by a moderator:
kweli raha na vitanda vya banco wanabeba?
 
duh alafu net katoa atang'atwa na mbu sasa
 
Ama kweli kazi ipo hapo....akikurupushwa hapo anaweza kweli kujitetea!!!
 
Hahahahha..... Jamani hiyo picha ya Bishanga mmeitoa wapi?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…