Kuna mwanajeshi mwingine wa MUNOSCO ameuliwa huko Eringeti Wilaya ya Beni. Inahisiwa inaweza akawa ni Mwajeshi wa Jeshi la Tanzania.
Kinachosubiriwa ni msemaji wa MUNOSCO kusema ni Mwanajeshi wa Nchi gani Kauliwa.
Mwanajeshi huyo alikua yupo lindoni leo hii, Ameuliwa kwa Risasi.
Makomandoo ni miti?Wale si nasikia ni makomandoo?? Sasa wanakufanje?
Yesu alikufa ndio , ila alifufuka na akapaa mbinguniMakomandoo ni miti?
Hata Yesu na Mtume Muhammad walikufa.
..
Yesu alikufa ndio , ila alifufuka na akapaa mbinguni
Wale si nasikia ni makomandoo?? Sasa wanakufanje?
mtu akiwa na moyo wa chuma ndio hafi??Kwani makomndoo wao wana roho na mwili wa chuma?
mtu akiwa na moyo wa chuma ndio hafi??