Mwanajeshi fake akamatwa Tabora.

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Kijana mmoja amekamatwa mkoani Tabora akiwa na sare za Jwtz na kuzitumia sare hizo ktk matukio mbalimbali ya kihalifu.

Wakati huohuo mtu mwengine amekamatwa mkoani humo akiwa na risasi 300 za silaha aina ya SMG.
#startv habari.
 
Tz imekuwa na matukio mbali mbali ambayo kwa sasa kama ni ya kawaida tu hayashangazi tena. 🔫
 
helo helo tz, helo helo upendo wa kweli,kua mzalendo tz at 50
no comment........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…