Mimi ni msomaji mzuri wa gazeti la mwanahalisi. naweza kusema ktk nakala walizotoa hazizidi nakala 10 kuzikosa. lkn siku hizi kila siku zikienda naona limeanza kupteza mwelekeo. kama nitatembelea kwenye meza ya magazeti hapa dar huliona likipgwa na jua siku 3 baada ya kutoka, limechakaa, watu huliangalia tu halitoki na inaonekana wasomaji wengi limewachosha na hata mauzo yake inawezekana yameshuka ajabu. kwani habari zinazotoka kwa sasa hazina mvuto . naona hata lile gazeti la rai linaoenekana kupanda chati na mwanahalisi kushuka kama vile kimbao mbao anvyoruka na kutaka kuligonga jiwe
naangalia kutafuta gazeti jengine mbadala ili kusoma