mwanahalakati

mwanahalakati

Mange Njile

Member
Joined
Jun 27, 2015
Posts
63
Reaction score
2
namini zimebaki siku chache tuigie kwenye uchaguzi nakila mumoja namini atafanya wamzi wake na kutimiza ndoto yake ila kunakitu kimoja nataka niongee tanzania ni ichi yenye sitolia zuli sana japokua iko chini kiuchumi ila inastolia yake kwaza amani pili kutokubaguwana vikabila na tatu tunajivunia sana ichi yetu au munasemaje wadau wezangu sasa basi tulindeni amani yetu na ukiisha uchaguzi nawaobeni tuwe kitukimija ili tulijenge taifa letu tusiwekeyane chuki mimi namini amani kwaza mengine badae nawatakia jumatatu jema
 
Kweli kabisa, kama michezo vile.

Mkimaliza maisha yanaendelea kama kawaida bila chuki na uhasama pamoja na vinyongo visivyoisha
 
Back
Top Bottom