Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,878
- 4,441
Yaani mapenzi kuwa nayo makini sana ukikaa kiboya yanakuendeshaaa sana.Nikiwa third year pale Kurasini Dar. Kuna dogo mmoja aliwahi kunywa nyagi na madawa ili afe....ikashindikana....then akatoka na kupanda juu ya ghorofa ( hostel) akajirusha chini...
Hatari sana Aisee! Njia zote za mauti kwake zikafungwa.Nikiwa third year pale Kurasini Dar. Kuna dogo mmoja aliwahi kunywa nyagi na madawa ili afe....ikashindikana....then akatoka na kupanda juu ya ghorofa ( hostel) akajirusha chini....lakini jamaa hakufa aisee wala kuvunjika hata mguu au mkono...
Hahahahaha mapenzi upofuAfu dem mwenyewe sasa..
Riki booooooy!! Umeongea kiandamizi sana mkuuyani mapenzi kuwa nayo makini sanaa ukikaa kiboya yanakuendeshaaa sanaaa
kama kweli amejia kwa ajili ya mapenzi,basi huyu alikuwa mjinga sana! wa2 2meshawahi kutendwa mara kibao mpka moyo unakuwa sugu lakini 2najikaza kiume na aisha yanaenda, and then after a certain moment ofa time tunasaahau, kiasi kwamba siku ukikutana nae sehemu unashangaa na kujiuliza "da!!! yaaini huyu x-wangu mwenye masikio kama simbilisi ndio alitesa kweli? au aliniloga nini?Mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu (TIA) Mkoani Mtwara aliyetambulika kwa jina moja la Regan ambaye amekuwa akiishi Mtaa wa Chikongola, Manispaa ya Mtwara...
Jina la kigumu lakini moyo mwepesiMwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu (TIA) Mkoani Mtwara aliyetambulika kwa jina moja la Regan ambaye amekuwa akiishi Mtaa wa Chikongola, Manispaa ya Mtwara- Mikindani anadaiwa kujinyonga hadi kufariki na mwili wake kukutwa ndani ya chumba chake...
Kwa nini una-justify na kuhitimisha moja kwa moja kwamba amejiua bila ya kuwepo kwa ripoti ya uchunguzi/postmortem?Mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu (TIA) Mkoani Mtwara aliyetambulika kwa jina moja la Regan ambaye amekuwa akiishi Mtaa wa Chikongola, Manispaa ya Mtwara- Mikindani anadaiwa kujinyonga hadi kufariki na mwili wake kukutwa ndani ya chumba chake...
Ila inauma sana unakuta ndugu zake walijinyima ili asome harafu anafanya ufara wa kujiuaKila nikifikiria utamu wa Pombe, stimu za Bangi na Vibinti vya Chuo, Madem wa Sinza & Juliana akili za kujiua huwa zinapotea kabisa