Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,904
- 1,364
Asante sana kwa ushauri wako; ila kureseat masomo ya sayansi huko vijijini ni kazi kweli kweli.Nadhani tatizo hapo wakiangalia hiyo Div IV hawaendelei tena kuangalia matokeo ya somo moja moja...mshauri tu a're-seat' physics apate angalau C ili aweze kuapply PCM (CCC) kwa A level.
Asante sana. Hakuchaguliwa kwenda vyuo vya ualimu na mzazi hana tena uwezo wa kumlipia vyuo vya binafsi, Kama uivyosema kureseat masomo ya sayansi huko vijijini ni vigumu.Pole yake huyo kijana. hila naona anaweza pata nafasi ya ualimu kama vp msaidie haweze pata ualimu kama mm simshauri kurisiti tena kwan itamuwia vigumu tena na badala yake itamkatisha tamaa badae. Msaidie kwanama yeyote kwan ndotaifa laleo mzazi.

Asante sana. Hakuchaguliwa kwenda vyuo vya ualimu na mzazi hana tena uwezo wa kumlipia vyuo vya binafsi, Kama uivyosema kureseat masomo ya sayansi huko vijijini ni vigumu.

Kijana tayari ameshakuwa frustrated maana wenye arts CDC wamekwenda form V kwa kuwa walikuwa na Div III lakini yeye aliye-specialise ameambulia patupu - Inasikitisha
Asante sana kwa ushauri. Nitafuatilia huko arusha tech maana nina jamaa yuko kule arusha.Thanks for this idea

mimi nimpe pole huyu dada!na nakubali kuwa systerm yetu sio nzuri maana kwa matokeo hazo tena kwa mtoto wa kike,huyo dada ni mkali wa hesabu.Na kuhusu ualimu kama hakuomba kwa barua ni vigumu kufikiriwa.namshausi asubiri mwaka kesho aombe vyuo mbalimbali km vya ualimu,kilimo,na mifugo.pia ipo programme chuo cha ufundi Asusha,nafikiri pia dar na mbeya(technical colleges.) special kwa ajili ya wanawake wa namna hi na wanapata sponsorship.fanya ufatiliaji wa hili.
Inawezekana ni hivyo ila hoja hapa ni kuwa je ni sahihi?, inatusadiaje?. Fikiria mwenye HKL (CDC) anaenda form V, halafu mwenye PCM (DCC) anatupwa! Tuache kulalamika kuwa hatuna wataalamu wa hesabu basi!Hvi kwan dv 4 c m2 anakua kakosa sifa za kuchaguliwa kwenda 4m 5!
Nashauri huyo mwanafunzi atafutiwe nafasi vyuo vya ufundi watamkubali,halafu anafurahisha anajua namba,na wanadi physics ilikuwa na matatizo.mimi nimpe pole huyu dada!na nakubali kuwa systerm yetu sio nzuri maana kwa matokeo hazo tena kwa mtoto wa kike,huyo dada ni mkali wa hesabu.Na kuhusu ualimu kama hakuomba kwa barua ni vigumu kufikiriwa.namshausi asubiri mwaka kesho aombe vyuo mbalimbali km vya ualimu,kilimo,na mifugo.pia ipo programme chuo cha ufundi Asusha,nafikiri pia dar na mbeya(technical colleges.) special kwa ajili ya wanawake wa namna hi na wanapata sponsorship.fanya ufatiliaji wa hili.

Tunapiga kelele siku zote kuwa Taifa l Tanzania lina uhaba wa watu wa mahesabu na sayansi kwa ujumla. Kuna mtu yuko vijijini kanitumia sms nimwangalizie mwanae kachaguliwa kuendelea na masomo sehemu gani.

Nimetafuta sijaona, ni kama ametemwa kila mahali. Amemaliza kidato cha nne mwaka jana 2010.

Ni kweli tumefika mahali ambapo msichana aliyejituma katika sayansi na kupata Physics D, Chemistry C na Math C anatupwa?.

Kulikoni wizara ya Elimu? Hakika tunawakatisha tamaa!

Matokeo yake ni:

S0586/0007

F

AQUILINA FELCIAN GERVASE

26

IV

CIV-F HIST-D GEO-F KISW-D ENGL-D PHY-D CHEM-C BIO-F AGRI-D B/MATH-C

angekuwa na C tatu angechaguliwa, usitake kulazimisha mambo bana.Asante sana kwa ushauri wako; ila kureseat masomo ya sayansi huko vijijini ni kazi kweli kweli.

Kama ulivyosema inaonekana wanaangalia div then hawaendelei, lakini in so doing tunawapoteza wataalamu. Pia nadhani selection ya kwenda formV ina walakini; nimeona mahali mwanafunzi amechaguliwa kusomea HKL ya CDC, badala ya PCB ya DBC. Inawezekana kijana kama huyu alichagua arts, lakini nadhani iitakiwa iwemo system ya kuwaencourage kuchukua sayansi!

angekuwa na C tatu angechaguliwa, usitake kulazimisha mambo bana.