MwanaFa ft Ally Kiba Kiboko yangu

MwanaFa ft Ally Kiba Kiboko yangu

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,023
Reaction score
13,370
Wale wasanii bora kabisa waliofunika Jana ,fa na kiba wanakuja kuchafua anga la burudani tena next week .
Wimbo umetengenezwa na Dr Marco chali
Verse ni za fa na chorus ni ya best vocalist of all time,ally kiba
Stay tuned!
#keep the good music alive
 

Attachments

  • B0KL7cCIIAAGMjP.jpg
    B0KL7cCIIAAGMjP.jpg
    50.4 KB · Views: 726
Ali kiba will always be there...
humble and cool real Tanzanian who has all attributes of normal Tanzanians....heshima regardless of his status

wala hajawahi kujiita sukari ya warembo....????!!!!

makuu ya nini?

mwache mzazi akawafunde wengine...
 
Kitu nipo hewani! Kwa 250 tu unaupakua mkito!
Let's support
 
Ni bonge la wimbo aisee hawa jamaa wanajua hadi bhac
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom