Watanzania wengi wana chuki sana na watu wanaofanikiwa kwa kuwa mnawafahamu kidogo mtashinda mitatandaoni kuwachafua tuu mnachopenda ni kuona anapata tabu kama wewe harafu uandike uzi wa uongo kuonyeshwa kuguswa na tabu zake kumbe unatupakia rangi tuu huku moyoni mwako ukifurahia wapo wanaomchukia Diamond kisa wanamjua toka alivyokua mchimba chumvi...