Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,453
- 40,446
ha ha ha ndio hivyo mkuu, hapa hakuna ndoa ya pili wala nini, ni kulana kimasihara tu....ukitaka ndoa tafuta wako umuandae..Sawa mume wa mtu,wamekuelewa.
Ikiwa mke wako anakusumbua ameshapata kapaka poda kanamkoleza huko hakuna namna!Unawazungumziaje wale ambao huwa wanafanya mapinduzi na kufanikiwa kummiliki mume wa mtu mazima?
Huwa wanatumia nguvu za ziada, lakini mwisho wake huwa sio mzuri; ramani ya maisha ya mwanaume huaribika kabisa. Mwanaume anatakiwa kuwa makini sana, lasivyo majuto yatakuwa yakeUnawazungumziaje wale ambao huwa wanafanya mapinduzi na kufanikiwa kummiliki mume wa mtu mazima?
Wamekuchukulia Nini?!!! Naona unahasira kweli kweli!!!!Ila asikubabaishe mtu au kinyago chochote Cha mpapure,we ndo mke unayetambulika, na una haki zote kisheria mbele ya Ardhi na mbigu TRUST MEha ha ha ndio hivyo mkuu, hapa hakuna ndoa ya pili wala nini, ni kulana kimasihara tu....ukitaka ndoa tafuta wako umuandae..
Kabla ya kumuacha unatakiwa ufanye utafiti wa kina,isije ikawa alitengenezewa mazingira ili mwingine aingieIkiwa mke wako anakusumbua ameshapata kapaka poda kanamkoleza huko hakuna namna!
Sawa mkuu,naona kijana anafuraha kutokana na kupata malezi ya baba na mama
Lakini Mara nyingi mwanaume ndo huwa haweki wazi Kama ana mke na familia, mchepuko unajiaminisha mwisho wa cku ukijajua unatumia nguvu kubwa kummiliki...kwahiyo hapa hakuna wa kumlaumu.Huwa wanatumia nguvu za ziada, lakini mwisho wake huwa sio mzuri; ramani ya maisha ya mwanaume huaribika kabisa. Mwanaume anatakiwa kuwa makini sana, lasivyo majuto yatakuwa yake
Madhara ni mengi sana mkuu, bora kutulia tu kama inawezekana hata kama kuna mapungufu ndani.Wanaharibu kweli heri utulizane tuu
Umeongea kiume👍Madhara ni mengi sana mkuu, bora kutulia tu kama inawezekana hata kama kuna mapungufu ndani.
Inategemea mkuu, wengine wanajua kabisa una familia, ila kutokana na changamoto za kidunia mnajikuta mko kwenye mahusianoLakini Mara nyingi mwanaume ndo huwa haweki wazi Kama ana mke na familia, mchepuko unajiaminisha mwisho wa cku ukijajua unatumia nguvu kubwa kummiliki...kwahiyo hapa hakuna wa kumlaumu.
Ndivyo inavyotakiwa mkuuUmeongea kiume👍
Haha MZALENDO NO.1 haya mambo waliyaweza wahenga, kumaintain wanawake wawili wasikupe shida sio lelemama🤣🤣🤣Wamekuchukulia Nini?!!! Naona unahasira kweli kweli!!!!Ila asikubabaishe mtu au kinyago chochote Cha mpapure,we ndo mke unayetambulika, na una haki zote kisheria mbele ya Ardhi na mbigu TRUST ME
Haha MZALENDO NO.1 haya mambo waliyaweza wahenga, kumaintain wanawake wawili wasikupe shida sio lelemama
Lea mtoto huyo..acha visingizio ulivyokuwa unatiana hukujua yote yatatokea..umepachika mimba unakuja na kisingizio Cha kusota kiuchumi..ungejua yote ungetulizana.
Wanaume bwana