Mwanadada Ronda Rousey achapwa na Mwanadada Holly Holm

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
sina haja ya kuweka maelezo mengi kueleza wasifu wa hao akina dada.

kwa wale wadau wa michezo hasa wale wafuatiliji wa UFC (Ultimate Fighting Championship) au mixed martial arts,bila shaka wanawaelewa.

kwa mda mrefu,Ronda Rousey amekuwa akidunda sana medemu wenzie wanapo kutana ulingoni.ila safari hii hali ilikuwa tofauti,alikutana na moto,si mwingine ni Holly Holm.

nisikuchoshe wala tusichoshane.

tazama video hapo chini,kama ikishindikana,bofya link HAPA
[video]https://www.facebook.com/PG.Kills.WWE/videos/vb.114943591885732/1004134989633250/?type=2&theater[/video]

NB:nadhani video ya mpambano huu bado haijawa rasmi kupatikana youtube.inapatikana ktk kurasa za mitandao mingine ya kijamii,mfano ni hiyo link niliyo weka hapo juu.
 
Wanapigana mchezo gani.leo ndio nasikia haya majina.haya hongera kwa kumpiga mwenzie.
 
Back
Top Bottom