Elimubomba
Senior Member
- Jul 27, 2017
- 111
- 47
•Usichague chuo kwa ajili ya jina(Big name). Chagua chuo kulingana na ubora wa program unayotaka kusoma.
•Usichague program kwa ajili ya mshahara mkubwa itakugharimu, soma kitu unachopenda ili hata kazini utekeleze majukumu kwa moyo mkunjufu na sio kwa ajili ya pesa.
•Kwa ambao wameshachaguliwa kujiunga na Vyuo mbalimbali nchini. Fahamu ABC za program unayoenda kusomea, soko lake la ajira au kujiajiri lipoje, changamoto na kadhalika.
•Kwa waliofeli form 4 au 6 USIKATE TAMAA, PAMBANA KUTIMIZA LENGO LAKO. Kuna kijana nilikabidhiwa alipata Zero form Four baada ya kuresit miaka miwili baadae alipata Division Two 18. Conclusion-Sio kwamba wanaofeli hawana akili bali kuna mamia ya sababu yanayomfanya mwanafunzi afeli.
Huwa Siingii mara kwa mara Jamiiforums hivyo mkiona replies hazijibiwi kwa muda naomba mniwie radhi.