Habari wana JF. Ni matumaini yangu kuwa mko poa wote humu ndani na mnapambana na majukumu ya hapa na pale.
Kiukweli, ni jambo la kushukuru sana kwa kuwa tuko safi na wenye afya njema.
Bila kuzunguka sana.Mimi ni mwanachama mpya wa JF na nipenda kujiunga ili tuweze kujadili mambo mbalimbali yanayogusa Jamii yetu bila kubagua tabaka fulani.
Maajabu, nimesoma comments zote sijaona aliyekuuliza jinsi/sex, maana hilo swali huwa ni kawaida sana kwa yeyote anayejiita mgeni hata kama yumo humu kafungua tu ID nyingine
Maajabu, nimesoma comments zote sijaona aliyekuuliza jinsi/sex, maana hilo swali huwa ni kawaida sana kwa yeyote anayejiita mgeni hata kama yumo humu kafungua tu ID nyingine