Mwana Yanga ninayeitakia mema Simba

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,472
Reaction score
8,132
Ningependa kukiri kuwa mimi ni shangiliaji wa timu ya Yanga japo mpira kidogo umenipitia pembeni.

Ila kwa haya mashindano ya kombe la Afrika na hatua waliyofikia Simba, nimeamua kuwa upande wa Simba.
Nimeamua hivyo kwakua mimi ni mzalendo. Simba kushiriki kwenye hii michuano, sio tu wanaiwakilisha timu yao. Bali wanaliwakilisha taifa.

Nitajisikia vibaya endapo Simba itakua ikitoka na matokeo mabovu.

Sitaishatakia mema pale tu itakapokua inacheza michuano ya ndani.

Povu ruksa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…