charrote JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 1,988 Reaction score 4,413 May 10, 2019 #41 Saint Ivuga said: Wewe una wangapi Click to expand... Ninao 6 na mmoja wa kaka yangu jumla 7.
E Englishlady JF-Expert Member Joined Apr 11, 2013 Posts 2,734 Reaction score 3,655 May 10, 2019 #42 charrote said: Na nilikuwa namtega tu nione akili zake zilipoishia. Huyu baba ni tatizo. Click to expand... Ndio akili za wanaume. Wao wanazaa Tena hovyohovyo ila wakuwaoa wanataka wasio na watoto.
charrote said: Na nilikuwa namtega tu nione akili zake zilipoishia. Huyu baba ni tatizo. Click to expand... Ndio akili za wanaume. Wao wanazaa Tena hovyohovyo ila wakuwaoa wanataka wasio na watoto.
mnangagwa JF-Expert Member Joined Dec 3, 2017 Posts 1,007 Reaction score 1,511 May 11, 2019 Thread starter #43 Englishlady said: Ndio akili za wanaume. Wao wanazaa Tena hovyohovyo ila wakuwaoa wanataka wasio na watoto. Click to expand... Sio nazaa hovyo hovyo,soma thread uelewe,nimezaa ktk ndoa ila nimelazimika kuachana na mwenzangu kutokana na sababu nilizoelezea hapo juu,
Englishlady said: Ndio akili za wanaume. Wao wanazaa Tena hovyohovyo ila wakuwaoa wanataka wasio na watoto. Click to expand... Sio nazaa hovyo hovyo,soma thread uelewe,nimezaa ktk ndoa ila nimelazimika kuachana na mwenzangu kutokana na sababu nilizoelezea hapo juu,
C Cute shy JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 1,196 Reaction score 1,303 May 15, 2019 #44 presider said: Acha utan kwenye Thread ya Ukwel Click to expand... Jamani mi mkweli
mnangagwa JF-Expert Member Joined Dec 3, 2017 Posts 1,007 Reaction score 1,511 May 15, 2019 Thread starter #45 Nashukuru kwa ushauri maridhawa. mulwanaka said: Unahisi wa 35-45 ndowametulia au wana exprience ya maisha hapo unanidaganya wanawake hawahongezeki akili inagaandaga kwa 25-28 utapata matukio yale yale.....tulia kwanza Click to expand...
Nashukuru kwa ushauri maridhawa. mulwanaka said: Unahisi wa 35-45 ndowametulia au wana exprience ya maisha hapo unanidaganya wanawake hawahongezeki akili inagaandaga kwa 25-28 utapata matukio yale yale.....tulia kwanza Click to expand...
mnangagwa JF-Expert Member Joined Dec 3, 2017 Posts 1,007 Reaction score 1,511 Dec 12, 2021 Thread starter #46 charrote said: Na nilikuwa namtega tu nione akili zake zilipoishia. Huyu baba ni tatizo. Click to expand... Ww ndo tatizo,huwezi ita watoto wangu mitoto.huo ni unyanyapaa jaribu kuficha chuki yako.
charrote said: Na nilikuwa namtega tu nione akili zake zilipoishia. Huyu baba ni tatizo. Click to expand... Ww ndo tatizo,huwezi ita watoto wangu mitoto.huo ni unyanyapaa jaribu kuficha chuki yako.
ummtotomlito JF-Expert Member Joined Aug 30, 2014 Posts 536 Reaction score 651 Dec 12, 2021 #47 presider said: Ukipata zaid ya mmoja niambie mkuu. Nnataka awe mkristu. Click to expand...