Mwana mama aliyetayari.

Unahisi wa 35-45 ndowametulia au wana exprience ya maisha hapo unanidaganya wanawake hawahongezeki akili inagaandaga kwa 25-28 utapata matukio yale yale.....tulia kwanza
 
Ha ha ha

Hapa ndipo ninaposhangaa ubinafsi wa wanaume...yeye mitoto 4 ila mke asiwe na mtoto ama awe na 1.

Ila kwakuwa na sisi tunatakaga ndoa tunakubali tu mbiombio....ila wanawake tumeonewa Sana.
Hayo ni matakwa yangu kama yupo mhitaji tutayajenga.
 
Ha ha ha

Hapa ndipo ninaposhangaa ubinafsi wa wanaume...yeye mitoto 4 ila mke asiwe na mtoto ama awe na 1.

Ila kwakuwa na sisi tunatakaga ndoa tunakubali tu mbiombio....ila wanawake tumeonewa Sana.
Na nilikuwa namtega tu nione akili zake zilipoishia. Huyu baba ni tatizo.
 
Wapo wenye hitaji hilo,kuna wanaume ambao hawakujaaliwa watoto watahitaji kuishi na wanawake wenye watoto,halafu usiwaite watoto mitoto sio vizuri.
Na nilikuwa namtega tu nione akili zake zilipoishia. Huyu baba ni tatizo.
 
Bandika bandua, jipe muda kwanza tafakari ndipo uchukue hatua.
 
Dah nimeikosa bahati , hicho kipengele cha awe muislamu na awe na mtoto mmoja kimenikosesha mume mjane mie
 
Ha ha ha

Hapa ndipo ninaposhangaa ubinafsi wa wanaume...yeye mitoto 4 ila mke asiwe na mtoto ama awe na 1.

Ila kwakuwa na sisi tunatakaga ndoa tunakubali tu mbiombio....ila wanawake tumeonewa Sana.
Kwan si vigezo vyake unaonewa nini

Na ww weka vyako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…