Mwana mama aliyetayari.

mnangagwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
1,007
Reaction score
1,511
Hbr zenu,mm ni mwanaume miaka 40,nimeingia katika mgogoro na wife kiasi cha kuamua kutoa talaka baada ya kugundua ametoa ujauzito wa miezi2 ambao mm sio mhusika,nikimhoji anakuwa mkali huku akinitukana matusi ya nguoni.nimezaa nae watoto wanne wa mwisho ana miaka2.nahitaji mwanamama umri35 hadi 45 ambaye yuko tayari tusogeze siku,awe na shughuri yyt ya halali inayomwingizia kipato.mimi ni mwajiriwa serikali na naishi kwenye kijumba nilichojaaliwa kukijenga.awe mwislam.aliye tayari anipm.karibu tuyajenge.
 
Huenda utakayempata akawa shida zaidi..msamehe..mkanye...leeni wanenu jaman
Kuna makosa ya kusamehe mkuu inawezekana aliitoa sababu mwenye mimba alikataa kutoudumia na kuikana vp unaisi wameachana apo zaidi utakuja kuuwa na kupata mada kesi kwa hasira ukampiga uuwe bure au kukuletea visa hadi ushindwe kufanya kazi kiufanisi
 
Tubadilishane nipe mkeo nikupe Mke wangu matatizo yetu yanafanana kwa kias flan iv
 
sub hanallah!!?? Hizi mvua znapelekea watu kusahau ukali wa swaumu na kuwaza vingi!
 
Ila ni jambo jema ukaishi alone ili ulee wanao kwa furaha kuowa mke mwingine ni kuongeza matatizo zaidi kuna mzee alikuwa na 45 akaja kuachana na mkewe ni mfanyakazi wa serikali akaowa mwingine kama kumkomoa mwanamke kwa kumuonesha kuwa anauwezo wa kumuowa mwanamke mzuri zaidi yake lakini alifanya kosa maana aliongeza watoto wawili ambao hadi amestaafu hawajamaliza kusoma na pesheni imekata kwaiyo mkuu waza kuwalea wanao na kuishi kwa furaha tafuta pesa kwa vyanzo vingine kutafuta mwingine so suluisho watoto wanne wanakutosha kwa sasa
 
Nashukuru kwa ushauri wako mzuri,ndo maana nikasema mwanamama ambaye mwenyezi mungu hakumjaalia watoto atapewa kipaumbele zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…