Leo kwenye XXL ya clouds nimemsikia mwana FA akitangaza shoo yake itakayofanyika trh 31 maeneo ya makumbusho kwa kumbukumbu zangu siku hiyo nayo Ladyjdee atafanya shoo yake nyumbani lounge ya kufikisha miaka 13 ya muziki wake
Kwanii mwana FA asinge mpisha kwanza kwa sababu yeye J dee ndo aliwahi kutangaza?
We acha tu huyu dada anapita pagumu ila Mungu atamsaidia..naamini hiyo haiwezi hathiri shoo yake kwani mashabiki wa jide wataenda kwake na wa fa pia kwake so itakuwi fine.
ni mwanamziki mwenye elimu kubwa kwa Tanzania,lakini FHA ajabu ni mwanamziki snitch Moines Tanzania anayetumika kuliko hata kina Linah kisa kahaidiwa unintended pale Muheza kupitia CCM,ni mpuuzi tu asiejitambua na kwenye kujikomba!!!
Sio kila aliye soma elimu imemsaidia wengine huenda shule kukua na kupunguza disturbance nyumbani huyu dogo anawezakuwa mojawapo. Hata hivyo mwana FA. Is lolote kwa JDEEE mama uko juu wanakupiga teke ni kama wanakuongezea mwendo upo juu sana hii takataka isikupotezee appetite
Hakuna dhambi mbaya hapa JF kama Dhambi ya kukurupuka...
Kwa mujibu wako Show ya Mwana FA inafanyika Tarehe 31...
Na kwa mujibu wako pia Show Ya Jide itapigwa tarehe 13...