"Wanamuziki" wa bongo wakishaanza kuongelea mambo yanayotakiwa kuongelewa kwenye conference room negotiation publicly naona ubaya wa kukosa elimu, exposure na professionalism.
MwanaFA hata kama nilikuwa nataka kumpa show ya $20,000 kashajishusha yeye mwenyewe kwenda $10,000 au chini zaidi.
Business is negotiation. MwanaFA usitokwe macho kwa nini yule kapata hizi, jiulize kwa nini wewe hujapata.
Sababu moja ni hii ya kutajataja vidau vyenu publicly. Vidau vyenu vishajulikana, unategemeaje mtu akupaishe juu zaidi ya unacholipwa kila siku?
Ukitaka kulipwa tofauti, fanya kitu tofauti.