Mwana-CCM Rose Sitaki alalamikia ubovu wa ofisi

M

mwanza_kwetu

JF-Expert Member
687
195
Akiwa amevalia manguo ya ccm na akiwa ameambatana na wenzake kwenda kutoa kero zao huko ileje wilayani amelalamikia umbali wa ofisi za immigrations, pia ameshauri ofisi hiyo ijengwe na kuwekwa bora pia iwepi baraba kutoka maeneo ya pembezoni mwa mpaka hadi ofisi hizo kuelekea ileje mjini.

Mytake: mkuu wa wilaya hata aibu hana badala yake anavalia manguo ya ccm pia anaenda kulalamika kwa kinana kana kwamba kinana ana budget inaonekana hata hajui kuwa eneo hilo halipo ktk budget kinana nae anasema atapeleka lalamiko kunakotakiwa.

Tusubirie kuona ngojera sa ccm ktk ziara hizo.

Source: ITV
 

Forum statistics


Threads
1,424,514

Messages
35,065,584

Members
538,002
Top Bottom