Mwallu

Kwa hiyo unamaanisha sie tunaofanana na baba zetu Mungu hatupendi?
Khantwe, nina wasiwasi neno 'photogenic' limekupiga mwereka. Hayo ya kufanana na baba umeyatoa wapi?
 
Last edited by a moderator:
Khantwe, nina wasiwasi neno 'photogenic' limekupiga mwereka. Hayo ya kufanana na baba umeyatoa wapi?

Mmmh hebu nifafanulie.....mi nimechukua hicho kipande cha God loves you
 
Last edited by a moderator:
Mmmh hebu nifafanulie.....mi nimechukua hicho kipande cha God loves you
Ndiyo Khantwe. Mungu alimpenda akampa sura nzuri.Kama una sura mbaya,Mungu pia aliipenda, ndo maana akakupa.
 
Last edited by a moderator:

Hee!! yamekua hayo!!?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Naamini wayapenda maisha ya amani....lol

Apia basi....wote hao?

Usafi kafanya nani?

Mwallu huyo mentor wako mkorofi kapitiliza ETI kanidedicate picha ya kibonde ya MCHEPUKO SIO DILI nitamfafuta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…