Mwalimu wa tuition std 5 anahitajika

Mwalimu wa tuition std 5 anahitajika

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
115
Reaction score
66
Mwalimu anahitajika,
Mwenye uwezo wa kufundisha masomo agalau 5 muhimu ya mwanafuzi wa darasa la tano,

ni baada ya mwanfuzi kutoka shuleni, saa za jioni, nyumbani maeneo ya kariakoo, Dar.

Kwa mazingira ya maeneo ya kazi na mwanafunzi pia tutafurahi kupata mwl wa KIKE.

Kwa yeyote aliye Interested anaweza PM ajitokeze hapa kwenye thread hii.
 
nipe dili ,mkuu
 
Sawa sawa maticha tupo wengi sana cha msingi ujira tu ukiwa wa kuridhisha kaz itafanyika
 
Mwalimu anahitajika,
Mwenye uwezo wa kufundisha masomo agalau 5 muhimu ya mwanafuzi wa darasa la tano,

ni baada ya mwanfuzi kutoka shuleni, saa za jioni, nyumbani maeneo ya kariakoo, Dar.

Kwa mazingira ya maeneo ya kazi na mwanafunzi pia tutafurahi kupata mwl wa KIKE.

Kwa yeyote aliye Interested anaweza PM ajitokeze hapa kwenye thread hii.
Tuchekiane kwa namba 0715476787, good offer
 
Aaaahaha ama kweli hutafuti mwl may kuna kngne,umeandkiwa namba kibao hapo ukadai uta pm...au wote wamekataa kama wamekataa basi kuna tatzo huko.
 
Mwalimu anahitajika,
Mwenye uwezo wa kufundisha masomo agalau 5 muhimu ya mwanafuzi wa darasa la tano,

ni baada ya mwanfuzi kutoka shuleni, saa za jioni, nyumbani maeneo ya kariakoo, Dar.

Kwa mazingira ya maeneo ya kazi na mwanafunzi pia tutafurahi kupata mwl wa KIKE.

Kwa yeyote aliye Interested anaweza PM ajitokeze hapa kwenye thread hii.
Mtoto ni wa jinsia gani?
 
Aaaahaha ama kweli hutafuti mwl may kuna kngne,umeandkiwa namba kibao hapo ukadai uta pm...au wote wamekataa kama wamekataa basi kuna tatzo huko.

Serious natafuta mwalimu,, wengi wenye namba hapo juu ni wa kiume kwa mazingira tulionayo tungependa mwl wa kike na mtoto ni wa kike
 
MI nafaa kwani nimeoa halafu ni mcha mungu sana yaani swala tano na sunnah juu,kama umeridhika ni PM
Nina digrii na nina uzoefu wa kufundisha kwenye centers kwa miaka miwili
NB;NINA MDA KUANZIA SAA KUMI NA MOJA MPAKA SAA MBILI JIONI
 
Nakushauri watajie na shuleasomayo mwanao itawwsaidia sana kujua wanadili na kitu gani ili wajipange na wabageni vizuri
 
Back
Top Bottom