we mzee sikiliza sio unadharau taaluma yetu mwalimu ana specialize katika somo au masomo fulani hayazidi mawili kama sayansi au sanaa au biashara sasa wewe umekoroga unataka mwlm wa somo la sayansi na art huyo huyo mmoja haiwezekani
Mpeleke mwanao kwenye tuition center ilypo karb kama mwanao anajielewa he\she can make it fine au ndan ya hyo week2 umuache apumzike na kufanya revission akiwa home
kama vipi nipm nije nimlishe matanga pori tu maana m bishi wewe watu na profesion zao wanakwambia unangangania afundishe hata na form four tu sasa form four anajua mizingi ya ualimu au unataka mimba za umri mdogo