RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,588
- 1,859
SawaAll the Best kwa mwalimu
Tangazo limenyooka na linaeleweka.....Walimu wa kiume jitokezeni mchongo huoWakuu anaitajika mwalimu mmoja wa primary awe wa kiume. Please tunataka wa kiume maana walimu wa kike wapo wa kutosha.
Awe na experience, shule ipo mkoa wa Simyu.
Karibu pm, weka namba ya simu utapigiwa, as soon as possible.
Yupo ana uzoefu zaidi ya miaka 15Wakuu anaitajika mwalimu mmoja wa primary awe wa kiume. Please tunataka wa kiume maana walimu wa kike wapo wa kutosha.
Awe na experience, shule ipo mkoa wa Simyu.
Karibu pm, weka namba ya simu utapigiwa, as soon as possible.
Huyu si inabidi awe head of school mkuuYupo ana uzoefu zaidi ya miaka 15
Shule ni private mkuu, karibu pmtoa maelezo ya kutosha,...ni private, malipo, simiyu wilaya gani, toa adress simu, n.k
Check. PmShule ni private mkuu, karibu pm
Mimi ni mwalimu wa secondary nina diploma nimewahi kufundisha shule ya msingi kipindi cha hayati Raisi Magufuli 0683850Wakuu anaitajika mwalimu mmoja wa primary awe wa kiume. Please tunataka wa kiume maana walimu wa kike wapo wa kutosha.
Awe na experience, shule ipo mkoa wa Simyu.
Karibu pm, weka namba ya simu utapigiwa, as soon as possible.
Mkuu namba hajafikaMimi ni mwalimu wa secondary nina diploma nimewahi kufundisha shule ya msingi kipindi cha hayati Raisi Magufuli 0683850
0683850450Mkuu namba hajafika
0683850450/ 07596565570683850450
Mkuu nime correct number nimetuma kwa usahihi, uzoefu ni miaka 10 kwenye field nimefundisha shule tatu za sekondari katika mkoa wa Mbeya, Singida, na PwaniMkuu namba hajafika
Hahahaaaaa! Ni sahihi mkuuHuyu si inabidi awe head of school mkuu
Cheki PM mkuuShule ni private mkuu, karibu pm