Mwalimu wa physics O - level

mkadiriajimajenzi

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
549
613
Napatikana Dar es Salaam,Sijasomea fani ya ualimu ila nina ujuzi na kipaji cha kuzaliwa juu ya ufundishaji na ueleweshaji wa somo la Physics kwa kidato cha kwanza mpaka cha nne.kwa mawasiliano zaidi PM
 
Ebu jibu swali hili kuthibitisha fizikia unaimudu.

"Kwa nini akina mama (vijijini wasio na mifuniko) wanamwagia maji unga wakati wa kuchemsha, hasa wapikapo Ugali".

NASUBIRIA
 
Swali lako hujaliuliza vizuri lakini niweza kukujibu kwa namna hii,unapokua unachemsha maji kwenye sufuria au chungu joto la maji huongezeka kuanzia chini kwenda juu,molecules za maji huanza kumove kutoka chini kupanda juu kwa maana nyingine density yake hupungua ,density ya unga ni kubwa kuliko ya maji,unapoweka unga kwenye maji ni lazima unga utashuka chini...kwa maelezo zaidi toa uhakika wa nafasi kwanza..
 
Una maana gani mkuu unaposema akina mama (vijijini wasio na mifuniko)?
 
Nyie ndo mnadhalilisha taaluma ya ualimu,utajiitaje mwanasheria wakati hujasomea sheria?
 
Swali lako hujaliuliza vizuri lakini niweza kukujibu kwa namna hii,unapokua unachemsha maji kwenye sufuria au chungu joto la maji huongezeka kuanzia chini kwenda juu,molecules za maji huanza kumove kutoka chini kupanda juu kwa maana nyingine density yake hupungua ,density ya unga ni kubwa kuliko ya maji,unapoweka unga kwenye maji ni lazima unga utashuka chini...kwa maelezo zaidi toa uhakika wa nafasi kwanza..

Yaani alieuliza hakueleweka na aliejibu hajaelewa anachojibu

Naomba wote mrejee "Boyle's Law" na "Three Laws of Thermodynamics" ndiyo mjikanyage. Swali liko wazi kabisa kwa kuwa linahusu husiano wa "pressure"; "volume"; "temperature"; na "entropy".
 
hakuna logic hapo..wewe kama unataka kufundishe kasomee ualimu..kwa nini unalowea professions za watu
 
Naomba wote mrejee "Boyle's Law" na "Three Laws of Thermodynamics" ndiyo mjikanyage. Swali liko wazi kabisa kwa kuwa linahusu husiano wa "pressure"; "volume"; "temperature"; na "entropy".

Mimi nilichokua sijaelewa hapo uliposema wakina mama wa vijijini wasio na mifuniko mkuu,
Nimelielewa swali lako but ticha alivojibu hakutoa reason ya hao wamama kumwagia maji unga.
 
Napatikana Dar es Salaam,Sijasomea fani ya ualimu ila nina ujuzi na kipaji cha kuzaliwa juu ya ufundishaji na ueleweshaji wa somo la Physics kwa kidato cha kwanza mpaka cha nne.kwa mawasiliano zaidi PM
Huo ni udhalilishaji wa taaluma za watu,unawezaje kuwa utaalamu pasipo kuusomea,jina zuri ambalo ulipaswa kulitumia hapo ungejiita "MWALIMU KANJANJA"
 
Ebu jibu swali hili kuthibitisha fizikia unaimudu.

"Kwa nini akina mama (vijijini wasio na mifuniko) wanamwagia maji unga wakati wa kuchemsha, hasa wapikapo Ugali".

NASUBIRIA
Unapomwagia unga kwenye maji ualower boiling point ya maji hivyo kufanya maji yawahi kuchemka kwa haraka zaidi kuliko usipo mwagia unga.
Swali jingine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom