Mwalimu wa physics na mathematics

Mwalimu wa physics na mathematics

hansluvanga

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
96
Reaction score
27
yupo expart wa masomo ya physics na mathematics kwa o- level ni mhitimu wa diploma katika course ya engineering ana uwezo mzuri wa kufundisha....call kwa maongez 0733480567 mwalimu yupo iringa
 
Mkuu nakushauri pia kama una uwezo mkubwa kajisajiri na SILABU APP huko ndiyo watu wanatafuta home tutors na wanalipa vizuri
 
Mwalimu wa ifunda au sio?

Engineers mwalimu hii nchi hii

Sema kila la kheri la Mkuu, ukafanikiwe katika harakati zako
yupo expart wa masomo ya physics na mathematics kwa o- level ni mhitimu wa diploma katika course ya engineering ana uwezo mzuri wa kufundisha....call kwa maongez 0733480567 mwalimu yupo iringa
 
We mleta mada unajua maana ya Mwalimu? Kumbe ndio maana humu jf watu huropoka hovyo na kuwabeza Walimu kumbe hata maana ya Mwalimu hawaijui. Wanadhani mtu yeyote anaweza kuwa Mwalimu kwa taaluma ya Ualimu.

Anyway, nakushauri utafute mtaji ufanye mambo mengine. Vinginevyo ujaribu shule za binafisi ingawa huko Nako Kwa sasa kuna ugumu baada ya kuwa na wahitimu wengi na wako uraiani. Ingekuwa km huko nyuma ingekuwa rahisi
 
Back
Top Bottom