cute la princessa Member Joined Oct 20, 2016 Posts 8 Reaction score 7 Nov 14, 2016 #1 Nimemaliza mwaka huu Bachelor of education in science kwenye masomo ya physics na chemistry naomba mwenye kujua sehemu yenye nafasi anisaidie ,nipo competent na Nina uwezo Wa kufundisha wanafunzi Wa aina yoyote
Nimemaliza mwaka huu Bachelor of education in science kwenye masomo ya physics na chemistry naomba mwenye kujua sehemu yenye nafasi anisaidie ,nipo competent na Nina uwezo Wa kufundisha wanafunzi Wa aina yoyote
Augustleo Member Joined Oct 13, 2016 Posts 87 Reaction score 60 Nov 14, 2016 #2 Kaa home Tumagufulike wote unataka ututangulie sio.
cute la princessa Member Joined Oct 20, 2016 Posts 8 Reaction score 7 Nov 15, 2016 Thread starter #4 Moshi
cute la princessa Member Joined Oct 20, 2016 Posts 8 Reaction score 7 Nov 15, 2016 Thread starter #5 ghenry25 said: Upo wapi mkuu? Click to expand... Moshi ndg
K kax Member Joined Aug 21, 2016 Posts 81 Reaction score 63 Nov 16, 2016 #6 cute la princessa said: Moshi Click to expand... Jaribu kutuma sakuraschool16@gmail.com omba physics na chemistry shule iko arusha
cute la princessa said: Moshi Click to expand... Jaribu kutuma sakuraschool16@gmail.com omba physics na chemistry shule iko arusha
cute la princessa Member Joined Oct 20, 2016 Posts 8 Reaction score 7 Nov 16, 2016 Thread starter #7 kax said: Jaribu kutuma sakuraschool16@gmail.com omba physics na chemistry shule iko arusha Click to expand... Ahsante sana Ndg ngoja nijaribu
kax said: Jaribu kutuma sakuraschool16@gmail.com omba physics na chemistry shule iko arusha Click to expand... Ahsante sana Ndg ngoja nijaribu