ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 8,681 Reaction score 16,279 Apr 30, 2022 #2 Mtawapata wakitoa majina ya waliochaguliwa kwenye hizo ajira zilizotangazwa.Mtu hawezi akaharibu nauli aje alipwe kijimshahara,wakati ajira za serikali kashaomba.
Mtawapata wakitoa majina ya waliochaguliwa kwenye hizo ajira zilizotangazwa.Mtu hawezi akaharibu nauli aje alipwe kijimshahara,wakati ajira za serikali kashaomba.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 51,974 Reaction score 125,657 May 2, 2022 #3 Tangazo limekaa kihuni sana, nadhani hiyo shule ni gheto la mshikaji