mimi ni mwalimu wa masomo tajwa hapo juu. nimesoma bachelor degree of education with mathematics and information technology. pia ninaweza kufundisha physics kama kuna uhitaji. kwa shule, taasisi, tuition center, mtu binafsi (home tuition), au kituo chochote chenye uhitaji wa masomo hayo . napatikana dar es salaam lakini mkoani naweza kufika tukikubaliana.
mawasiliano PM