individual
Member
- May 22, 2018
- 10
- 0
Ni kweli, ila vizuri ungeniuliza kabla hauja nihukumu.Wewe sio Mwalimu hebu taja Chuo kikuu ulichosomea masomo matatu.
Mimi najua Mwalimu anasomea masomo mawili au moja tu,wewe una masomo matatu.
Ni kweli, ila vizuri ungeniuliza kabwa hauja nihukumu.
Kabwa ndio nini?
Sasa niulize wakati wewe ndio mwenye shida.
Hakuna Mwalimu wa masomo matatu,hebu taj
Unataka kuniajiri,
Kabwa ndio nini?
Sasa niulize wakati wewe ndio mwenye shida.
Hakuna Mwalimu wa masomo matatu,hebu taja hicho Chuo ulichosoma au ni hivi vya kata.
Sina Shida Mkuu bali natafuta ajirà mpya nahitaji challenge mpya. ChuoKabwa ndio nini?
Sasa niulize wakati wewe ndio mwenye shida.
Hakuna Mwalimu wa masomo matatu,hebu taja hicho Chuo ulichosoma au ni hivi vya kata.
Sina shida Mkuu, natafuta Changamoto mpya. Alafu nikutajie Chuo alafu iweje? Ndiyo utanipa ajira ?Kabwa ndio nini?
Sasa niulize wakati wewe ndio mwenye shida.
Hakuna Mwalimu wa masomo matatu,hebu taja hicho Chuo ulichosoma au ni hivi vya kata.
Mwalimu anatafuta Kazi Mahali popote Tanzania. Uzoefu wa Kazi Mwaka Mmoja Kama Mwalimu Kwa O-Level, nafundisha open school fulani kubwa tu hapa Dsm, pia nina ezoefu wa kazi wa miaka 2 Kwenye Sekta ya huduma kwa Mteja.[/QUOTE
Pia Wakuu, nina uzoefu wa mwaka mmoja wa kufundisha Ict kwenye academy moja hapa dsm, elimu yangu nina degree ya IT undergraduate na Postgraduate diploma ya Ualimu.
Wewe ndiyo Chizi na UjielewiChizi huyu anataka kujificha kwenye kichaka wakati anaonekana,unakuja PM ili iweje,pumbavu kabisa.View attachment 795053
Wewe ndiyo Chizi na Ujielewi
Elimu yangu ni Shahada ya IT Undergraduate pia nina Postgraduate diploma ya Ualimu. Pia nina Uzoefu wa Kufundisha Ict Kwa Muda wa Mwaka mmoja kwenye academy moja hapa dsm.Mwalimu anatafuta Kazi Mahali popote Tanzania. Uzoefu wa Kazi Mwaka Mmoja Kama Mwalimu Kwa O-Level, nafundisha open school fulani kubwa tu hapa Dsm, pia nina ezoefu wa kazi wa miaka 2 Kwenye Sekta ya huduma kwa Mteja.
Uko dar maeneo gani?