Mwalimu wa masomo ya Arts

Hapana mkuu. we umetumia busara.. sana katika majibizano ila ila yeye ndo amepanic kutokana na majibu ya wadau wengne
 
kamanda kama n jeneza umepgilia msumari wa mwisho mi nashangaa sn ndugu zetu walmu cjui inferiority complex inawatesa,hvi kaka kufundsha nako n inshu ya kusema uingie darasan malectr wa university mbona weng wao hawakuwa walmu,nkawapa mfano wa kenya ambako hakuna cha uprfsn wote mnaomba kaz je wao n wajnga? Wanadai nan kanambia nsisome ualmu sasa cjui wanataka wote tusomee ualmu,mwngne ananambia serikaln spat sasa cjui wanaona ufahal kuwa serikaln huu ujnga huu,pia mi nmetaka kaz mwenye nayo aseme sasa yanakuja majtu cjui n wivu yanaleta porojo,na kwa taarifa nmepgiwa cm kuna shule ya mission moshi wanahtaj huduma yng,kngn wanakmblia kunambia ktaa ktaniua utazan kwamba kila atafutae kaz ana njaa au hana mbele wala nyuma huu ujnga huu.
 
Mkuu tuache hizo basi kubishana sio kuzuri, ebu nipe mchongo basi na mimi kama una connection na shule za private
 
Hapana mkuu. we umetumia busara.. sana katika majibizano ila ila yeye ndo amepanic kutokana na majibu ya wadau wengne

ndugu hvi mi kuna kbaya gani nlchoandka? Pia n wapi nlpoandka nataka serikaln huo n ulmbuken tu, mi nmetaka kaz nashangaa nashambuliwa na majbu ya kuwa na njaa mara why cjasoma ualmu,sasa waltaka niwajbu nn?
 
hujui unachokizungumzia au ndo nyie mliekuwa vilaza shulen na sasa mmeishia kuomba tempo mashuleni
 
Sema ndo, icho mkuu watu wanashndwa kujielewa, kufundisha sio lazma usomee.

nina malecture weng ni walimu wa vyuo lakin hawana ethc za ualimu!

tanzania ni yetu wote tusibaguane
 
Sema ndo, icho mkuu watu wanashndwa kujielewa, kufundisha sio lazma usomee.

nina malecture weng ni walimu wa vyuo lakin hawana ethc za ualimu!

tanzania ni yetu wote tusibaguane

Basi kama kila msomi anaweza kufundisha kozi ya ualimu iondolewe basi, pelekeni hili pendekezo kwenye katiba pendekezwa.
 
ndugu hvi mi kuna kbaya gani nlchoandka? Pia n wapi nlpoandka nataka serikaln huo n ulmbuken tu, mi nmetaka kaz nashangaa nashambuliwa na majbu ya kuwa na njaa mara why cjasoma ualmu,sasa waltaka niwajbu nn?

Sema hao, wadakiaji a topic kila sehemu wapo, chakufanya siku nyingne usipanic nao, wala usijibu hoja zao,

we subir lazma wawili watatu watajitokeza na majibu positive...
 
unajua qualities of a good teacher?unaijua syllubus?unaijua scheme of work?unaifah log book,lesson plan, na lesson notes?unazijua teaching aid?unazijua teaching and learning material? unafaham SMART?unafaham qualities of a good teachers.dogo teaching is a proffesion like other proffesionals.usidandie gar kwa mbele utaumbuka.kwa walio walimu watakucheka na kukudharirisha kwa hiyo thread yako
 
Basi kama kila msomi anaweza kufundisha kozi ya ualimu iondolewe basi, pelekeni hili pendekezo kwenye katiba pendekezwa.

serikali ya kisisiem ndo imekaa ovyo upande wa wizara ya elimu.

ambapo ndo wizara ambayo ni nyet sana nchni.. nchi za wenzetu wanaithamin sana ndo mana maticha wa uganda kenya na tanzania ni tofauti kabisa.
 
we mwehu hayo yote unayoyasema nayajua sn na nmeyafanya kama mwl.zaid ya shule 3 kabla sjaacha na kujkta kwny biashara now nataka nianze ujenz nahtaj pesa ya ziada ndo maana nataka tumia nlchonacho kchwan kupata pesa hyo, kngne nliwahi fundsha shule ya serikal walikuja walmu wapya prfsn walikuwa hawayajui yote hayo uyasemayo tukawa tunawasaidia mpaka walpozoea kaz we mpuuz unanletea mikwala mingi ulpolala mi ndo nmeamka tokea jana nayajua yote kuliko hata ww ulyekmblia ualmu ksa upate ubwete wa kaz bt kufundsha huwez class unambwela tu.kchwan hamna ktu.
 
hujui unachokizungumzia au ndo nyie mliekuwa vilaza shulen na sasa mmeishia kuomba tempo mashuleni

watu vlaza c ndo kama walmu weng wenu mna dvsn 3 mmebebwa ili serikal ipate walmu, nmehtmu udsm PSPA na nlikuwa na dv 1.7 namba yng ya cm nmeweka hapo npo dsm kama upo huku nchek tuonane twende mpaka kwng upate ushahd uje uwaambie na makabwela wenzio.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…