mutant gene JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 876 Reaction score 326 Nov 4, 2014 #1 Mwalimu mwenye certificate, diploma au degree ya lugha ya kisomali anahitajika. nafasi iko moja. kama una sifa ni pm. Asanteni
Mwalimu mwenye certificate, diploma au degree ya lugha ya kisomali anahitajika. nafasi iko moja. kama una sifa ni pm. Asanteni
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Nov 4, 2014 #2 Mushaharka waxa qiimaha?
mutant gene JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 876 Reaction score 326 Nov 4, 2014 Thread starter #3 utafiti said: Mushaharka waxa qiimaha? Click to expand... mkuu mi sielewi hiyo lugha. kama una vitu vinavyohitajika hapo juu, unakaribishwa.
utafiti said: Mushaharka waxa qiimaha? Click to expand... mkuu mi sielewi hiyo lugha. kama una vitu vinavyohitajika hapo juu, unakaribishwa.
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,711 Reaction score 4,230 Nov 4, 2014 #4 wameshaingia nchini?
Straddler JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 722 Reaction score 193 Nov 4, 2014 #5 MZAWA JF said: wameshaingia nchini? Click to expand... Inawezekana. Si unajuwa kwamba wageni siku hizi ni dili huko Uhamiaji?
MZAWA JF said: wameshaingia nchini? Click to expand... Inawezekana. Si unajuwa kwamba wageni siku hizi ni dili huko Uhamiaji?
E EJay JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 693 Reaction score 174 Nov 16, 2014 #7 utafiti said: Mushaharka waxa qiimaha? Click to expand... naona umekariri vizuri movie ya "captain phillips"
utafiti said: Mushaharka waxa qiimaha? Click to expand... naona umekariri vizuri movie ya "captain phillips"