Mwalimu wa kike wa mathematics anahitajika

Mwalimu wa kike wa mathematics anahitajika

Nsam

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2018
Posts
212
Reaction score
290
Awe mkatoliki awe na uwezo mkubwa wa kujiamini shule ipo Iringa atakayejitokeza awahi mimi nimeambiwa na mtu.
 
Awe mkatoliki awe na uwezo mkubwa wa na kujiamini shule ipo iringa atakyejitokeza awah mm nimeambiwa na mtu
Sasa mbona hujaweka mawasiliano mkuu.
Hao walimu wapo wengi tu mtaani weka mawasiliano tuwape namba yako
 
Habar wana jamii Mimi ni Mwl wa phys na maths nafundisha advance nataka nibadilishe kituo .nipo Moshi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom