Mwalimu wa graphics na animation

Mwalimu wa graphics na animation

Joined
Jan 22, 2015
Posts
6
Reaction score
2
nafundisha graphics na animation:

Programs:
photoshop
illustrator
indesign

animation
maya
after effects

video editing

final cut
adobe premier

nakufundisha kwa vitendo, pia uhakika wa ajira maana nakuajiri mwenyewe kwenye kampuni yangu
ya matangazo na filamu, ( african creative ltd ) jitokeze mapema kila program ni 300,000/=

 
yani animation, rendering na kila kitu cha maya kwa kilo tatu tu?????
unafundisha kwa muda gani labda?
 
Back
Top Bottom