mzee wa ndonga
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,108
- 88
- Thread starter
-
- #81
Yeah..unajua lengo kubwa sio kupata faida, lengo kubwa ni ku influence maisha ya watu wengine wanaohitaji kuwa kama mimi..ku share skills na knowledge ambazo Mungu katupatia ili kusaidia kizazi hiki na taifa kwa ujumla..karibu sananaona mkuu umeamua kutembeza uzi mwenyewe....
Haya asante