kama unatafuta au kuhitaji mwalimu wa chemistry aje kufundisha kwenye shule yako au tuition nyumbani kwako, tafadhali piga simu +255 715 812862 kwa maelewano zaidi.
Sorry wadau wangu wa elimu. Mwalimu napatikana Dar-es-salaam, Ilala maeneo ya Gongo la Mboto. Mwalimu ni mwajiriwa wa Halmashauri ya wilaya ya Kisarawe but ni katika hali ya kutaka kujiongezea kipato thats why natafuta Partime. Kama kutakuwa na shule ambayo tutakubaliana kwenye malipo nipo tayari kwa mazungumzo na tukikubaliana nitafanya nao kazi.