Mwakiluma
Senior Member
- Jan 23, 2012
- 120
- 47
Nyerere katika hotuba yake aliuelezea mfumo wa kuficha Mali nje ya nchi kama mfumo wa KISHETANI. Katika hotuba yake alisema...namnukuu
"Mfumo gani huu mfumo wa kishetani, unatoa mali kwa maskini unapeleka kwa matajili. Tunao waswahili ambao jambo la kijinga likitamkwa kwa kizungu linaonekana lina maana sana. Tunaona tabu sisi kuungana na mkabili mwenye nguvu wakati wenye nguvu wanaungana kumkabili mnyonge. Kama kunamtu anastahili kuuonea haya muungano basi ni mwenye nguvu. Ili kweli uweze kuendelea in freedom lazima utumie kilicho chako".
My take.
Huyu mtu alikuwa anaona mbali sana. Mambo haya ya mabilioni ya uswisi si ndio haya. R.I.P baba wa taifa.