johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Tuwekee hicho kifungu cha Biblia tujadili hoja yako.Askofu Kilaini amemtaja Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuwa ni mtu Mwema
Biblia inatuambia hakuna aliye Mwema ila Mungu peke yake
Au mimi ndio sielewi?!!
Naomba kuelimishwa
Hakuna mtu mwema asie na mapungufu,,mwalimu alikua ni mtu MWEMA.Askofu Kilaini amemtaja Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuwa ni mtu Mwema
Biblia inatuambia hakuna aliye Mwema ila Mungu peke yake
Au mimi ndio sielewi?!!
Naomba kuelimishwa
Waulize wachungaji wako kina Mokiwa. Biblia ukiifanyia literal translation inakupoteza.Luka 18:19 Yesu akawaambia hakuna aliye Mwema ila Mungu
Hiki kizee kulelewa leoAskofu Kilaini amemtaja Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuwa ni mtu Mwema
Biblia inatuambia hakuna aliye Mwema ila Mungu peke yake
Au mimi ndio sielewi?!!
Naomba kuelimishwa
uwazi wake upo wapi?.tuonyeshe.Biblia iko wazi
Kwa tafsiri yako, Yesu naye hakuwa mwema? One who gave his life to save mankind?!Huo mstari mbona umenyooka!
Hakika umenena mwalimu alikuwa chumba cha peke yake kifalsafa tofauti na viongozi wenza wa TANU na CCM.Mwalimu aliamini katika Ujamaa. Tangu 1967 hadi 1985 alijaribu kutekeleza Ujamaa wake. Kufeli kwake kunaonekana katika kushindwa kuwabadili waliomzunguka kukubaliana na itikadi yake.
Ndiyo sababu baada ya kustaafu mengi aliyoanzisha yaliwekwa pembeni na wale wale waliokuwa karibu naye.