Mwalimu napatikana

Mwalimu mwenzangu Evelyn Salt yupo kupigania ualimu kila kona ha ha mpeni kijana deal afundishe hata kama atakosea principles za u ticha ana cop mbele ya safari anybody can teach mjue
 

kufundisha civics mpaka uwe Mwl grade A, kufundisha general study mpaka uwe na diploma, kufundisha development studies mpaka uwe na degree katika elimu hivyo quite. CV yako haionyeshi kama umeyapitia hayo na hivyo unaonyesha kama kama unataka kufundisha kwa kutaka unafuu wa maisha kitu ambacho inaua watoto kitaaluma. kuna upungufu wa human resources na waajiri wapo huku pia. hujachelewa hembu jaribu kuwa clear ndg for sure you will be successful. Try to be patient
 
mkuu huyu anadai anaweza kufundisha mpaka (compyuter studies) sababu eti degree yake ya sociology aliyosoma ni multi-purpose
 
Mwalimu mwenzangu Evelyn Salt yupo kupigania ualimu kila kona ha ha mpeni kijana deal afundishe hata kama atakosea principles za u ticha ana cop mbele ya safari anybody can teach mjue
Teaching ni profession kama zilivo nyingine, anybody can teach ila sio kila mtu ni MWALIMU
Tatizo kaja na biti wakati ana shida ha ha ha
 
Walimu ni mburula
 
Sio Mwalimu by professional ila nafundisha mathematics and chemistry shule fulani hivi. Nawagongesha vijana A za kutosha. Sema namna kijana alivyo Kuja
 
mmmh mmeniamulia walimu kwaiyo chaka mmebana wakuu au?
 
Sema mimi mzee msasambegu ni mburula...usiwatukane walimu wengine mkuu unakuwa unawakosea heshima wazazi wako we nitukane mimi..alafu tusi lako hilo nishalisikia ndio sisi mburula...enhee tukana jingine
Kuna watu wanatafuta Kiki humu. Mkuu achana kubishana na mpumbavu. They can drag you into their level and beat you with their experiences
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…