Mwalimu Na Sandals

viongozi wa sifa yake sijui kama watapatikana katika kizazi hiki cha escrow...
 
Duuu hao madogo sasa ni wazee...

Asilimia 90 watakua wameisha tangulia mbele za haki kutokana na kutokuwepo mfumo mzur wa kutunza wazee nchi hii hususan kwenye huduma za afya...kuna haja ya kuwapumzisha watawala kwan wana dalili zote za kuchoka kuongoza
 
Mpaka Dunia ita-expire hakutatokea kiongozi zaidi ya Mwalimu katika Tanganyika.
 
wengine wanataka wahutubie mbele ya benchi la ufundi na tai na suti na maji ya kilimanjaro, huku mipasho na kidole juu vikihusika. "maskin nchi yangu hata sioni uelekeo wake"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…