kinachotakiwa ni kuzingatia syllabus source ya material ni popote ukizingatia notes ni za mwalimu , mwanafunzi atake short summary ajiandalie notes zake
Inaruhusiwa kabisa ilimradi usitoke nje ya syllabus. Kazi yako ni kuwaongoza wanafunzi ili wajiongeze wenyewe. Tatzo wanafunzi wa tanzania wanataka kutafuniwa kila kitu.
Ukitaka notes nzuri form one to form six download apps ya Thl elearning utapata kila kitu gharama yake ni 25 elfu kwa mwaka iko vizuri ukipata tabu nijulishe