Mwalimu binafsi anahitajika

Mwalimu binafsi anahitajika

strong peason

Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
30
Reaction score
1
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo, mwenye taaluma ya saikolojia na ana uwezo wa kufundisha.

Atafundisha watu wawil tu.
 
Kama kichwa cha habar kilivyo hapo, mwenye taaruma ya saikorojia na Ana uwezo wa kufundisha,atafundisha wa2 wawil 2 tu

tunashukuru kwa kutuonyesha uwezo wako mdogo wa maarifa. naomba kujua hilo somo la " saikorojia " ni la sayari gani au ipi?
 
Ila jamii forum mnaskitisha Sana, heb mnisaidie, m nimeandka uz from no were anatoka ucngzin ananijib et upeo wang wa kufikr ni mdogo,,,, nimekusamehe bule
 
atafundisha wanafunzi wa chekechea au?
 
Watu wengine mnajitafutia matatizo wenyewe !!!! Utakuja kuingiliwa na majambazi alafu ulie peke yako !!!!

Kama unahitaji mwalimu wa psychology , nenda shule au college utapata msaada !!!!

Sasa unakuja kutafuta mwalimu jamii forum , mwisho wa siku utapata mtu ambaye humjui na hujui where abouts zake , kumbe ni jambazi !!!! Ni ushauri tu !!!!
 
Utakuja kupata mtu ambaye ana psychology ya ujambazi na kujifanya ni mwalimu !!!! Utakuja kulia peke yako !!!!! Shauri yako !!!!

Tanzania sio Saudi Arabia , watu wanaomuogopa Mwenyezi Mungu ni wachache !!! Shauri yako
 
Wapi anahitajika? Hiyo ni moja ya kozi ninazoZifundisha st Joseph college

Short interview for you Mr Psychologist !!!

1) What is psychology ???

2) There are how many branches of Psychology ??? List them

3) What is the importance of studying Psychology ???

4 ) Why has Psychology been described as a "hub science" ???

5) What status does Marko Marulic hold in the field of Psychology ????

6) Who is Steven Blankaart ??? Why is he remembered in the field of Psychology ????

Best of Luck !!!!!
 
We kweli mtoto.

Sasa huu si utoto huu?

We jamaa ndio maana watu wanasema una matatizo bila kujijua,tatizo la kukulia ukubwani ukiwa unakula nyumbani ndio hili.
Uki copy ujue na ku edi

Mtu kajieleza,na cha msingi ni mhusika kumtafuta na kuhakiki,na pia chuo kakitaka ambacho kinajuliakana na ni rahisi ku trace,sasa wewe unaleta utoto wa Mama.Wengine mngeendelea kuwa facebook,aisee yaani mnaboa kweli baadhi ya muda.

Boring !!!Boring!!! Boring
 
Kama unaona Nina matatizo , twende msimbazi au central police station !!!! Story na siasa nyuma ya pazia hazisaidii kabisa !!!

Yaani central na msimbazi police station ni mwisho wa matatizo yote !!!!
 
Uelewa wako mkuu unatia shaka,hujui kuwa kunasomo la saikolojia?

kumbe sasa hivi somo limebadilika na linaitwa saikolojia na siyo tena saikorojia? haya pamoja na kukusanifu kote huku bado hujishtukii tu? kweli wewe " ufyoko ".
 
kumbe sasa hivi somo limebadilika na linaitwa saikolojia na siyo tena saikorojia? haya pamoja na kukusanifu kote huku bado hujishtukii tu? kweli wewe " ufyoko ".

Mkuu unatumia ubongo wa wapi? ni saikolojia(psychology) na sio saikorojia
 
We kweli mtoto.

Sasa huu si utoto huu?

We jamaa ndio maana watu wanasema una matatizo bila kujijua,tatizo la kukulia ukubwani ukiwa unakula nyumbani ndio hili.
Uki copy ujue na ku edi

Mtu kajieleza,na cha msingi ni mhusika kumtafuta na kuhakiki,na pia chuo kakitaka ambacho kinajuliakana na ni rahisi ku trace,sasa wewe unaleta utoto wa Mama.Wengine mngeendelea kuwa facebook,aisee yaani mnaboa kweli baadhi ya muda.

Boring !!!Boring!!! Boring

Shida ya huyu jamaa, ukweli yeye kwake mwiko. Sasa umemsaidia kumuonesha udhaifu wake anakimbilia central sijui huko central yupo juma nyosso anamsaidiaga kesi zake maana dah
 
Shida ya huyu jamaa, ukweli yeye kwake mwiko. Sasa umemsaidia kumuonesha udhaifu wake anakimbilia central sijui huko central yupo juma nyosso anamsaidiaga kesi zake maana dah

Njoo central au msimbazi police ueleze matatizo na shida zangu !!! Usiongee nyuma ya pazia !!!
 
Naona wewe pia mtoto mix kwa wingi kama Zanzibar !!!! Punguzeni urojo !!!
 
Back
Top Bottom